| lyric | 1. Amezaliwa Bwana amezaliwa Yesu Bwana wa Mabwana amezaliwa Ieo
Ref.: sana na tupige vigelegele na tupige makofi mara tatu Tumtukuze Bwana Mwokozi wetu
2. Yesu mwana wa Munga Yesu mwana wa Mungu Amekuja kutukomboa wenye dhambi
3. Ule ukuta sasa Ule ukuta sasa amebomoa Yesu nu upatanischo wetu na Mungo |